Ronaldo: Siendi popote - EDUSPORTSTZ

Latest

Ronaldo: Siendi popote

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Baada ya kuhusishwa kwenda vilabu mbali mbali kama FC Bayern Munich na Newcastle United nahodha wa Al Nassr Cristiano Ronaldo amekanusha na kusema haendi popote ana furaha kuwa sehemu ya kikosi cha Al Nassr.


Baada ya kuhusishwa kwenda vilabu mbali mbali kama FC Bayern Munich na Newcastle United nahodha wa Al Nassr Cristiano Ronaldo amekanusha na kusema haendi popote ana furaha kuwa sehemu ya kikosi cha Al Nassr. Ronaldo alikuwa akihusishwa na vilabu vya Ulaya ikisemekana kuwa anahitaji kucheza Michuano ya UEFA.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz