Rasmi: Benzema anasepa Madrid - EDUSPORTSTZ

Latest

Rasmi: Benzema anasepa Madrid

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Real Madrid CF na kampteni wa klabu hio Karim Benzema wamefikia makubaliano ya kusitisha muda wa kuendelea kuitumikia klabu hio kwani amekuwa hapo kwa muda wa takribani miaka 14.


Real Madrid CF na kampteni wa klabu hio Karim Benzema wamefikia makubaliano ya kusitisha muda wa kuendelea kuitumikia klabu hio kwani amekuwa hapo kwa muda wa takribani miaka 14. Madrid imependa kutambua mchango wake mkubwa ndani ya kikosi cha timu hio kwa kumtaja kama ni moja ya Gwiji wa Soka kuwahi tokea.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz