Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Klabu ya Al Wahda inayoshiriki Ligi Kuu ya United Arab Emirates (UAE) imemtangaza Pitso Mosimane (58) kuwa Kocha Mkuu.
Hatua hiyo inakuja siku chache tangu Pitso atangaze kuachana na waajiri wake Al Ahli, ya Saudi Arabia ambayo alijiunga nayo Septemba 2022 na kufanikiwa kuwapandisha Ligi Kuu ya Saudi Arabia.
Taarifa hizo za utambulisho wa Pitso zinazima tetesi za Kocha huyo wa Vikombe barani Afrika kutua Yanga ambao siku chache zilizopita walitangaza kuachana na Kocha wao Nasreddine Nabi.
No comments:
Post a Comment