Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Kibabage anayemudu kucheza nafasi ya ulinzi wa kushoto na winga, huenda akaongezwa katika kikosi cha kocha Miguel Gamondi kuelekea msimu ujao
Katika msimu uliopita Kibabage alikuwa miongoni mwa wachezaji waliong'ara Singida BS akipachika mabao manne
Ujio wake huenda ukaweka matatani hatma ya mlinzi wa kushoto David Bryson ambaye mkataba wake umemalizika
Dickson Job, Kibwana Shomari na Kibabage wote walipita katika timu ya vijana ya Stars U17, Serengeti Boys na kushiriki fainali za Afcon 2017 zilizofanyika Gabon
Kibabage pia amewahi kuitumikia Difaa El Jadida ya Morocco akiwa pamoja Simon Msuva
No comments:
Post a Comment