Mkude, Kyombo kutimkia Ulaya - EDUSPORTSTZ

Latest

Mkude, Kyombo kutimkia Ulaya

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Simba ipo kwenye mipango ya kuwapeleka baadhi ya wachezaji wake ambao hawajapata muda wa kutosha ili wakacheze West Armenia.


Simba ipo kwenye mipango ya kuwapeleka baadhi ya wachezaji wake ambao hawajapata muda wa kutosha ili wakacheze West Armenia. Taarifa kutoka klabuni zinawataja Habib Kyombo, Jonas Mkude, Mohamed Mussa, Nassor Kapama na Jimmyson Mwanuke ndio majina ambayo viongozi wa Armenia wamepewa ili kuwatazama kama watawafaa na baada ya hapo mazungumzo yataanza.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz