Matokeo ya fainali Man city vs Inter millan Jana - EDUSPORTSTZ

Latest

Matokeo ya fainali Man city vs Inter millan Jana

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Hatimaye Manchester City imetwaa taji la kwanza la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Inter Milan ya Italia usiku wa jana Uwanja wa Atatürk Olimpiyat Jijini İstanbul nchini Uturuki.


Hatimaye Manchester City imetwaa taji la kwanza la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Inter Milan ya Italia usiku wa jana Uwanja wa Atatürk Olimpiyat Jijini İstanbul nchini Uturuki. Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee, kiungo wa Kimataifa wa Hispania, Rodrigo Hernández Cascante 'Rodri' dakika ya 68 na hilo linakuwa taji la tatu la msimu kwa kocha Mspaniola, Pep Guardiola baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England na Kombe la FA.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz