Matokeo Azam fc vs Yanga Fainali kombe la FA - EDUSPORTSTZ

Latest

Matokeo Azam fc vs Yanga Fainali kombe la FA

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) limerejea tena kwenye makabati ya Yanga pale Jangwani baada ya kuichapa Azam Fc bao 1-0 katika mchezo wa fainali uliopigwa uwanja wa Mkwakwani


Alikuwa ni Kennedy Musonda aliyeihakikishia Yanga medali ya dhahabu ya tatu msimu huu akifunga bao pekee kwa kichwa kwenye dakika ya 13


Haikuwa mechi rahisi kutokana na mazingira yaliyokuwa yakiwakabili Yanga, mechi mfululizo na mchezo kupigwa saa tisa mchana jua likiwa kali


Yanga ilikuwa bora zaidi kwenye kipindi cha kwanza huku ikiwa imara zaidi katika kujilinda na kutumia mashambulizi ya kushitukiza katika kipindi cha pili


Ndio! habari ndio hiyo, bingwa wa Ngao ya Jamii, Ligi Kuu na kombe la FA ni Yanga kwa msimu wa pili mfululizoDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz