Kocha Man United kumtoa sadaka Martial kisa Hojlund - EDUSPORTSTZ

Latest

Kocha Man United kumtoa sadaka Martial kisa Hojlund

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Erik ten Hag atamfungulia milango ya kutokea straika Anthony Martial ili apate pesa za kumnasa staa wa Atalanta, Rasmus Hojlund.


Ripoti zinafichua kwamba Ten Hag yupo tayari kufanya dili la kubadilishana wachezaji na Atalanta kwa maana ya kumtoa Martial aende kwa wakali hao wa Serie A ili amchukue Hojlund, 20 aje kukipiga Old Trafford.


Straika mpya ni nafasi inayopewa nafasi kubwa ya kocha Ten Hag kwenye mipango yake ya usajili ya dirisha hili la majira ya kiangazi, huku akihitaji pia beki wa kati mpya na kipa mwingine.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz