Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Wallace Karia amesema wachezaji wote ambao hawakuhudhuria katika hafla ya ugawaji wa tuzo kwa wachezaji wa Ligi za ndani bila sababu za msingi wafungiwe michezo mitano ya mwanzo wa msimu ujao.
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Wallace Karia amesema wachezaji wote ambao hawakuhudhuria katika hafla ya ugawaji wa tuzo kwa wachezaji wa Ligi za ndani bila sababu za msingi wafungiwe michezo mitano ya mwanzo wa msimu ujao. Tuzo hizo za TFF zilitolewa jana Juni 12 Jijini Tanga katika Ukumbi wa Kituo cha Michezo cha TFF.
No comments:
Post a Comment