Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Beki wa kati wa Simba SC, Henock Inonga amesema, tangu ajiunge na Wekundu hao wa Msimbazi hakufanikiwa kupata ushindi hivyo watafanya kila linalowezekana msimu ujao wafanikiwe kupata ubingwa.
Inonga anesema kwa kushirikiana na wenzake, watahakikisha wanafanya kila linalowezekana ili weweze kupata mataji.
Inonga amejiunga na Simba misimu miwili iliyopita ambapo timu hiyo imeambulia patupu kwa misimu yote.
Chanzo: Malunde
No comments:
Post a Comment