Gamondi ndiye amesajili wachezaji wote watalkaaoshuka Yanga - EDUSPORTSTZ

Latest

Gamondi ndiye amesajili wachezaji wote watalkaaoshuka Yanga

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa Kocha wao mpya, Miguel Gamondi hajaja kwa Bahati mbaya na ni kocha Mkubwa mwenye Mafanikio makubwa.


Kamwe amesema kuwa, mchakato wa kumpata kocha huyo ulianza mapema baada ya Kocha Nabi kuonyesha nia ya kutotaka kuendelea na Yanga msimu ujao.


"Hadi kukubali kuitumikia yanga aliomba kupitia kwanza Ripoti ya Kocha Nabi alipoishia na Mapemdekezo yake ndani ya timu akalizishwa nayo.


“Kocha wetu mpya naomba niwatoe hofu ameshiriki aslimia 100% kwenye usajili wetu Wa msimu huu hivyo kila mchezaji atakeichezea Yangasc kocha kapitisha na sio kumpangia.


“Pia, kocha mpya huwa anamapendekezo yake hivyo mtegemee kuwa na mabadiliko kwenye benchi la Ufundi kocha anaweza akaja na Watu wake alisema Ali kamwe Afsa Habari Yanga,” amesema All.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz