Diamond amjaza Mamilioni Golikipa wa Yanga - EDUSPORTSTZ

Latest

Diamond amjaza Mamilioni Golikipa wa Yanga

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Msanii Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz, ametimiza ahadi yake kwa golikipa wa Yanga, Djigui Diarra, kwa kumkabidhi Dola za Kimarekani 4200 zaidi ya shilingi milioni 10 za Tanzania.


Diamond alitoa ahadi hiyo Juni 3 baada ya Mlinda mlango huyo wa Yanga kuonesha kiwango safi katika mchezo wa mkondo wa pili wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Algiers.


Katika mchezo huo wa Fainali Diarra aliokoa mkwaju wa Penati na pia aliibuka nyota wa mchezo.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz