Dau la Miquissone lawaumiza vichwa mabosi Simba SC - EDUSPORTSTZ

Latest

Dau la Miquissone lawaumiza vichwa mabosi Simba SC

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Al Ahly imemuweka sokoni wing wake Jose Miquissone akiuzwa dola 250,000 (Sh 590 milion).


Katika kumweka sokoni, Simba ndio klabu iliyopewa kipaumbele cha kuulizwa kama itamhitaji kutokana na mkataba wake wakati anauzwa kuwa na kipengele.


Simba tayari imeshaanza mazungumzo na Luis ambaye amewataka mabosi wa Simba kufika kwenye mshahara wa Dola 20,000 (Sh 47 milion) kwa mwezi ili arejee nyumbani.


Dau ilo linaonekana kuwapasua vichwa mabosi wa Simba ambao walikuwa tayari kumpa mashahara wa Dola 10,000 (Sh 24milion)Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz