Bruno Gomes asaini Mkataba mpya, Simba waambulia patupu - EDUSPORTSTZ

Latest

Bruno Gomes asaini Mkataba mpya, Simba waambulia patupu

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 KIungo Mbrazil, Bruno Barroso Gómez ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea na kazi Singida Fountain Gate ‘The Big Stars’ hadi mwaka 2025.


KIungo Mbrazil, Bruno Barroso Gómez ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea na kazi Singida Fountain Gate ‘The Big Stars’ hadi mwaka 2025. Mchezaji huyo alieonesha kiwango kikubwa msimu uliopita alikuwa anazungumzwa kuwaniwa na vigogo na hasa Simba SC ambao eneo lao la kiunho sio imara.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz