Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Aliyekuwa Kiungo wa Yanga na Timu ya Taifa, Feisal Salum "Fei Toto" ametambulishwa katika Klabu ya Azam FC yenye maskani yake Chamazi Jijini Dar es Salaam.
Feisal ameuzwa na Klabu ya Yanga baada ya kuwa na mvutano na Klabu ya Yanga kwa Takribani miezi sita akitaka kuvunja Mkataba.
Hatua hiyo inakuja baada ya kauli ya Rais Samia aliewataka Yanga kukaa na Mchezaji huyo na kumaliza Tofauti zao.
No comments:
Post a Comment