Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Baada ya klabu ya Simba kutangaza kuachana na kiungo mkongwe Erasto Nyoni, ni rasmi mchezaji huyo kiraka ametua Namungo Fc amnbao wametambulisha usajili wake leo
"Tunayofuraha kuwataarifu kuwa Erasto Edward Nyoni amejiunga kuitumikia Timu yetu ya Namungo Fc akitokea Simba Sc. Karibu kwenye Familia ya Wauwaji wa Kusini Erasto Edward Nyoni," ilisema taarifa ya Namungo
Jana Simba ilitangaza kuachana na Nyoni baada ya kuwatumikia wekundu wa Msimbazi kwa miaka sita
Beno Kakolanya na Jonas Mkude nao waitangazwa kutokuwa sehemu ya kikosi cha Simba pia
Beno na Mkude wanatajwa kujiunga na klabu ya Singida Fountain Gate (zamani Singida Big Stars)
Post a Comment