Banda aacha maswali magumu Simba kwa hichi alicho kifanya - EDUSPORTSTZ

Latest

Banda aacha maswali magumu Simba kwa hichi alicho kifanya

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Winga Peter Banda raia wa Malawi ameacha maswali kwa mashabiki wa klabu ya Simba baada ya kufuta picha zote zinazoihusu timu hiyo kwenye ukurasa wake wa Instagram.


Hii inakuja siku moja baada ya Simba kuachana na Mghana Augustine Okrah ambaye ametumikia kikosi hicho kwa msimu mmoja tu. Je safari imeiva? au anaanza upya baada ya majeraha yaliyomuweka nje muda mrefu?




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz