Azam waanza kuonesha jeuri, waipiga Simba na kitu kizito - EDUSPORTSTZ

Latest

Azam waanza kuonesha jeuri, waipiga Simba na kitu kizito

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Mkata umeme na nahodha wa Azam FC, Sospeter Bajana ataendelea kusalia Azam FC hadi mwaka 2026.


Hatua hiyo baada ya Bajana kusaini Mkataba mpya wa miaka mitatu ambao utaisha 2023.


Bajana alikuwa akihusishwa na Wekundu wa Msimbazi Simba SC na kwa hatua ina maana Simba wameangukia pua.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz