Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Matajiri wa Jiji Azam FC wanajiandaa kwenda kupiga kambi, Tunisia kujiandaa na msimu mpya 2023/24.
Matajiri wa Jiji Azam FC wanajiandaa kwenda kupiga kambi, Tunisia kujiandaa na msimu mpya 2023/24. Safari yao itakuwa kati ya Julai 7 na 10 huku ikiwa tayari wamemalizana na mastaa wawili wa kigeni kutoka Senegal ambao amewapendekeza kocha wao, Youssouph Dabo na watawatangaza mapema mwezi ujao.
No comments:
Post a Comment