Ambundo apewa mkono wa kwaheri Yanga - EDUSPORTSTZ

Latest

Ambundo apewa mkono wa kwaheri Yanga

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Klabu ya Yanga imeachana na winga Dickson Ambundo baada ya mkataba wake kumalizika


Ambundo alitua Yanga akitokea klabu ya Dodoma Jiji akiwatumikia Wananchi kwa misimu miwili


"Tunamshukuru Ambundo kwa mchango wake katika kipindi chote alichokuwa nasi na tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya nje ya Yanga," ilisema taarifa iliyotolewa na YangaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz