Zambia waichapa Barcelona 3-0 - EDUSPORTSTZ

Latest

Zambia waichapa Barcelona 3-0

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Timu ya wachezaji wakongwe wa Zambia imewashushia kipigo kizito cha mabao 3-0 timu ya wakongwe wa Barceleona kwenye mchezo wa Maonesho uliofanyika jana Jijini Lusaka, Zambia.


Ronaldinho, Kluivert, Saviola, Giovanni, Mendieta, Déhu, Coco, Sergi, Gabri, Edmilson na Mendieta Guzmán waliichezea Barcelona Legends.


Kalusha Bwalya na Emmanuel Mayuka walikuwa sehemu ya Kikosi cha Zambia Legends.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz