Yanga wasaini Mkataba na Robbialac kuikarabati Jangwani - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga wasaini Mkataba na Robbialac kuikarabati Jangwani

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Klabu ya Yanga leo imeitangaza kampuni ya Berger inayotengeneza rangi za Robbialac kuwa mshirika wake ambaye atafanya kazi ya kupaka rangi jengo lao la Makao Makuu, Jangwani, Dar es Salaam.


Katika hatua nyingine kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuondoka Jumapili kwenda Rusternburg, Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, Marumo Gallants Jumatano Uwanja wa Royal Bafokeng.


Yanga itakwenda huko ikihitaji kuulinda ushindi wake wa 2-0 kwenye mchezo wa kwanza Jumatano Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz