Wadada kutua singida big star - EDUSPORTSTZ

Latest

Wadada kutua singida big star

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Klabu ya Singida Big Stars inatajwa kukamilisha usajili wa awali wa mlinzi wa kulia raia wa Uganda Nicolas Wadada (28)


Mwishoni Mwa Msimu huu Wadada atakuwa mchezaji huru kwani kandarasi yake na Ihefu Fc itakuwa imetamatika


Wadada anakuwa Mchezaji wapili kumwaga wino ndani ya Singida Big stars baada ya Mlinzi wa kushoto pia wa Ihefu Sc Yahaya Mbegu nae akisajiliwa na matajiri hao wa SingidaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz