USAJILI: Simba waanza kumnyatia mchezaji huyu kutoka Rwanda - EDUSPORTSTZ

Latest

USAJILI: Simba waanza kumnyatia mchezaji huyu kutoka Rwanda

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Safu ya ulinzi ya Simba inatarajiwa kuimarishwa kwenye dirisha la usajili litakalofunguliwa mwezi ujao baada ya ligi kuu 2022/23 kumalizika


Wakati kukiwa na taarifa kuwa Joash Onyango ameomba kuachwa ili akatafute changamoto kwingine, Simba imeanza mchakato wa kumsaka mrithi wake


Jicho la kocha Robertinho Oliveira limetua kwa Abdul Rwatubyaye mlinzi wa kati wa klab ya Rayon Sports ya Rwanda


Rwatubyaye ambaye pia hucheza timu ya Taifa ya Rwanda, amewahi kufanya kazi na Robertinho wakati akiinoa Rayon msimu wa 2018/19


Alirejea Rayon msimu uliopita baada ya kucheza soka la kulipwa nchini Marekani kwa misimu miwiliDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz