Ulimboka Mwakingwe, Mwenyekiti Kitayosce wafungiwa maisha - EDUSPORTSTZ

Latest

Ulimboka Mwakingwe, Mwenyekiti Kitayosce wafungiwa maisha

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Kamati ya maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania imewafungia maisha wanafamilia wawili kujihusisha na mpira wa miguu.


Watu hao ni Mwenyekiti wa Kitayosce, Yusuph Kitumbo na Kocha wa mpira wa miguu Ulimboka Mwakingwe ambao wametiwa hatiani kwa upangaji wa matokeo.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz