Ubingwa wa CAF, GSM atoa ahadi nzito - EDUSPORTSTZ

Latest

Ubingwa wa CAF, GSM atoa ahadi nzito

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Mastaa wa Yanga huenda wakageuka mamilionea kama watatwaa kombe la Shirikisho, kwani tajiri GSM ametoa ahadi ya kuwapa asilimia 40 za pesa ya ubingwa huo ambayo ni karibu Sh 2 bilioni za Kitanzania ambapo ukigawa kwa wachezaji 30 kila mmoja atachota milioni zisizopungua 63.


Mastaa wa Yanga huenda wakageuka mamilionea kama watatwaa kombe la Shirikisho, kwani tajiri GSM ametoa ahadi ya kuwapa asilimia 40 za pesa ya ubingwa huo ambayo ni karibu Sh 2 bilioni za Kitanzania ambapo ukigawa kwa wachezaji 30 kila mmoja atachota milioni zisizopungua 63. Yanga watakuwa na kibarua Jumapili hii katika mchezo wa mkondo wa kwanza katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kisha Juni 3 watacheza mchezo wa mkondo wa pili nchini Algeria.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz