"Tunampa Mungu utukufu wa milele kwa mambo yote, Tunajiamni bado dakika 90 zimebaki Algeria" - EDUSPORTSTZ

Latest

"Tunampa Mungu utukufu wa milele kwa mambo yote, Tunajiamni bado dakika 90 zimebaki Algeria"

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele amesema wamekubali wamepoteza mchezo wa kwanza wa fainali kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya USM Alger lakini bado hawajakata tamaa


Mayele aliyefunga bao la Yanga katika mchezo huo uliomalizika kwa USM Alger kupata ushindi wa mabao 2-1, amesema wana dakika 90 za kulowesha jezi kwa jasho huko Algeria


"Tunampa Mungu utukufu wa milele kwa mambo yote, Tunajiamni bado dakika 90 zimebaki Algeria, tunaenda kulowesha jezi kwa timu yetu ya Yanga. BADO TUNAAMINI, " alisema Mayele


Bao alilofunga Mayele katika mchezo huo linamfanya kuwa kinara wa mabao katika kombe la Shirikisho akifikisha mabao saba



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz