Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Ni kama maboresho yameanza mitaa ya Msimbazi. Klabu ya Simba SC kwa pamoja na mchezaji Augustine Okra kutoka nchini Ghana wamefikia makubaliano ya kuvunja mkataba
Okrah alitambulishwa kama mchezaji wa Simba July 13/2022 kwa mkataba wa mwaka mmoja wenye kipengele chakuongezeka
Okra amedumu Simba SC kwa miezi 10, hukua maisha yake ndani ya Klabu hiyo yakikumbana na changamoto kadhaa.
No comments:
Post a Comment