TETESI: Simba wabisha hodi kwa Kiungo wa St. George - EDUSPORTSTZ

Latest

TETESI: Simba wabisha hodi kwa Kiungo wa St. George

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Klabu ya Simba imetuma ofa rasmi kwa wawakilishi wa Kiungo wa timu ya Taifa ya Ethiopia na Klabu ya St George, Yiech Panom Gatoch kwa ajili ya kumsajili.


Klabu ya Simba imetuma ofa rasmi kwa wawakilishi wa Kiungo wa timu ya Taifa ya Ethiopia na Klabu ya St George, Yiech Panom Gatoch kwa ajili ya kumsajili. Panom amewahi kuvitumikia vilabu vya Wolaitta Dicha, Al-Anwar, Haras El Hodoud, Makelle City, Ethiopian Coffe, El Gouna na Anzhi Makhachkala ya Urusi.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz