Taarifa mpya kutoka Yanga jioni hii - EDUSPORTSTZ

Latest

Taarifa mpya kutoka Yanga jioni hii

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Baada ya kuipa heshima Tanzania kwa kutinga nusu fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika, kikosi cha Yanga hakina muda wa kupoteza kwani bado wana kazi ya kuhakikisha wanatetea mataji ya ndani waliyoshinda msimu uliopita


Yanga imeondoka leo kuelekea mkoani Singida kwa ajili ya mechi mbili muhimu dhidi ya Singida Big Stars


Alhamisi May 04 Yanga itashuka uwanja wa Liti kumenyana na Singida BS katika mchezo wa ligi kuu ya NBC.


May 07 Yanga itashuka tena uwanja wa Liti kumenyana na Singida BS katika mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)


Yanga inakabiliwa na ratiba ngumu kwani itacheza mechi tatu katika kipindi cha siku sita


May 10 Wananchi watakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza nusu fainali ya kombe la Shirikisho dhidi ya Malumo GalantsDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz