Simba, Jkt tanzania zavutana kuhusu Hassan Dilunga - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba, Jkt tanzania zavutana kuhusu Hassan Dilunga

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Klabu ya Simba inatarajiwa kumpa mkataba wa mwaka mmoja kiungo mshambuliaji Hassan Dilunga, imefahamika


Dilunga amekuwa nje ya uwanja kwa zaidi ya miezi 12 akisumbuliwa na majeraha, sasa yuko tayari kurejea uwanjani baada ya kupona


Miezi kadhaa nyuma Dilunga alijumuishwa kwenye kambi ya Simba akifanya mazoezi na timu ili benchi la ufundi liweze kumfanyia tathmini


Wakati Simba ikiwa kwenye mchakato wa kumsajili, imeelezwa JKT Tanzania iliyopanda ligi kuu msimu huu, nayo imeonyesha nia ya kutaka kumsajili


Hata hivyo habari za uhakika kutoka ndani ya uongozi wa Simba zimebainisha kuwa Kocha Robertinho Oliveira ameidhinisha Dilunga kusajiliwa na atapewa mkataba wa mwakaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz