Shabiki wa Yanga afariki Dunia vurugu kwa Mkapa - EDUSPORTSTZ

Latest

Shabiki wa Yanga afariki Dunia vurugu kwa Mkapa

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Serikali imethibitisha kifo cha shabiki mmoja wa Yanga SC kufuatia vurugu zilizozuka mapema nje ya uwanja huo wakati wa zoezi la mashabiki kuingia uwanjani


Taarifa ya awali iliyotolewa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu imeeleza kuwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke imepokea jumla ya majeruhi 30 ambapo mmoja amefariki (Mwanaume mwenye umri wa takribani miaka 40. ) na Majeruhi wengine wanaendelea vizuri baada ya kupata majeraha mbalimbali


Vurugu zilizuka nje ya Dimba la Benjamin Mkapa wakati mashabiki hao walipolazimisha kuingia ndani ya uwanja huo kabla ya milango ya uwanja huo kufunguliwa


Mashabiki hao walifika kushuhudia mchezo wa kwanza fainali ya kombe la shirikisho Afrika kati ya Yanga SC dhidi USM AlgerDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz