Rasmi: Southampton yashuka daraja England - EDUSPORTSTZ

Latest

Rasmi: Southampton yashuka daraja England

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Klabu ya Southampton imeshuka daraja rasmi baada ya kuchapwa mabao 2-0 na Fulham.


Matokeo hayo yamewafanya kusalia na alama 24 na michezo miwili ambayo haisadii kuepukana na janga hilo.


Hii ni mara yao ya Tatu kushushwa daraja baada ya msimu wa 1973-74 na ule wa 2004-2005. Southampton wameiaga EPL baada ya miaka 11 na sasa watashiriki Ligi ya Championship msimu ujao.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz