Rais Samia aamua kuwafariji Yanga - EDUSPORTSTZ

Latest

Rais Samia aamua kuwafariji Yanga

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Bao la Fiston Mayele jana katika mchezo wa mkondo wa kwanza fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika, limeipatia Yanga Tsh Milioni 20 za bonasi ya Mama


Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa aliikabidhi Yanga Tsh Milioni 20 baada ya mchezo dhidi ya USM Alger uliomalizika kwa Yanga kufungwa mabao 2-1


Msigwa alisema ni ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan pesa hiyo ikiwa kuwahamasisha wachezaji ili kuhakikisha wanashinda mchezo wa marudiano huko AlgeriaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz