Mayele, Musonda waitwa timu za Taifa - EDUSPORTSTZ

Latest

Mayele, Musonda waitwa timu za Taifa

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Washambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele na Kennedy Musonda wameitwa kwenye timu zao za Taifa kujiandaa na michezo ya kufuzu Kombe la Mataifa Afrika.


Mayele ameitwa kwenye kikosi cha Demokrasia ya Congo (DRC), chini ya mwalimu Sébastien Desabre kuelekea mchezo wa kutafuta tiketi ya kushiriki michuano hiyo mikubwa ya Afrika dhidi ya Gabon.


Nae Avram Grant amemjumuisha Kennedy Musonda kwenye kikosi cha Chipolopolo wakiwa wanaelekea kucheza dhidi ya Ivory Coast.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz