Mayele ashinda tuzo mbele ya Mahrez, Sarah na Vincent Aboubakar - EDUSPORTSTZ

Latest

Mayele ashinda tuzo mbele ya Mahrez, Sarah na Vincent Aboubakar

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa mwezi Aprili.


Mayele ameshinda tuzi hizo zinazotolewa na jarida maarufu la michezo Barani Afrika Foot Africa. 


Kura zilizopigwa; 


Fiston Mayele (RDC/ Young Africans) - 30.50% 


Iliman Ndiaye (Sénégal/ Sheffield United) - 28.00%


Vincent Aboubakar (Cameroun/ Besiktas) - 18.44% 


Riyad Mahrez (Algérie/ Manchester City) - 12.17% 


Youssef En Nesyri (Maroc/ FC Séville) - 6.14% 


Mohamed Salah (Egypte/ Liverpool) - 4.75%Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz