Matokeo: Yanga yatinga Fainali CAF CC - EDUSPORTSTZ

Latest

Matokeo: Yanga yatinga Fainali CAF CC

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 

 Yanga imeandika historia kwa kutinga fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho kibabe sana baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Marumo Gallants huko Afrika Kusini


Ni ushindi wa jumla wa mabao 4-1 baada ya ushindi wa mabao 2-0 nyumbani


Mabao ya Fiston Mayele na Kennedy Musonda yameihakikishia Yanga ushindi muhimu ugenini unaoipeleka fainali huku ikivunja rekodi ya Marumo kutofungwa katika uwanja wao wa nyumbani katika michuano hiyo


Ndio! wale watabiri waliokuwa wakiitisha Yanga na rekodi ya Marumo nyumbani waambieni, Marumo wamekufa sebuleni kwao!


Yanga inamsubiri mshindi wa mchezo kati ya USM Alger dhidi ya Asec MimosasDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz