Maskini Feisal azidi kugonga mwamba mambo yazidi kuwa magumu kwake - EDUSPORTSTZ

Latest

Maskini Feisal azidi kugonga mwamba mambo yazidi kuwa magumu kwake

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF, kupitia Kamati ya Sheria na hadhi za wachezaji kupitia kikao chake cha Mei 4 imetupilia mbali maombi ya mchezaji Feisal Salum aliyowasilisha katika Kamati hiyo akiomba kuvunja Mkataba na Klabu ya Yanga.


Taarifa hiyo imetolewa leo Mei 5, na TFF kama inavyosomeka hapa chini;

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz