Marumo wafuta viingilio Mechi dhidi ya Yanga - EDUSPORTSTZ

Latest

Marumo wafuta viingilio Mechi dhidi ya Yanga

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Marumo Gallants ya Afrika Kusini imetangaza hakutakuwa na kiingilio katika mechi ya marudiano nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Yanga Jumatano ijayo Mei 17 katika Uwanja wa Royal Bafokeng.


Marumo ilifungwa mabao 2-0 na Yanga jana Mei 10 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar.


Mchezo wa Nusu Fainali ya Mkondo wa pili baina ya Timu hizo utapigwa Mei 17 nchini Afrika ya Kusini.


Ikumbukwe kuwa Marumo Gallants pia walifuta viingilio katika mchezo wao wa Robo Fainali dhidi ya Pyramid FC ya Misri ambapo waliibuka na ushindi wa bao 1-0.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz