Marumo Gallants kutua Dar leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Marumo Gallants kutua Dar leo

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 MARUMO Gallants kutoka Afrika Kusini ambao ni wapinzani wa Yanga kwenye hatua ya nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika wanatarajiwa kutua Bongo, leo Jumatatu, Mei 8, 2023.


Ni Kesho Jumatatu wanatarajiwa kutua Dar tayari kwa mchezo wao wa kwanza wa nusu fainali ya kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Yanga. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Dar, Mei 10, 2023.


Marumo Gallants jana Mei 7 wametoka kupoteza mchezo wao wa ligi kuu dhidi ya Mamelod Sundowns kwa kuchezea kichapo cha mabao 2-0.


Mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa timu zote mbili kusaka ushindi ili kutinga hatua ya fainali.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz