Huyu ndie mchezaji aliefungwa jela kwa Faulo alioyofanya Uwanjani - EDUSPORTSTZ

Latest

Huyu ndie mchezaji aliefungwa jela kwa Faulo alioyofanya Uwanjani

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Aprili 16, 1994 ilikuwa siku ya kihistoria pale mchezaji wa moja ya timu kubwa za Scotland, Glasgow Rangers, Dancun Ferguson, alipohukumiwa kifungo cha siku 44 jela kwa kosa la kufanya madhambi yasiyo ya kiungwana kwenye mechi ya mpira wa miguu.


Ilikuwa mechi ya ligi kati ya timu yake na Raith Rovers ambapo alimpiga kichwa John McStay.


Waendesha mashtaka wa nchi hiyo wakasema tukio lile lilikuwa la kihalifu japo lilifanyika kwenye mechi ya mpira.


Wakaenda kufungua kesi mahakamani na mwamba akakutwa na hatia. Akafungwa kwenye gereza la Barlinnie mjini Glasgow.


Rangers ni moja ya timu kubwa za Scotland, nyingine ni Celtic.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz