Chelsea wapiga chini usajili wa Joao Felix, arudishwa Atletico - EDUSPORTSTZ

Latest

Chelsea wapiga chini usajili wa Joao Felix, arudishwa Atletico

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Klabu ya Chelsea imesitisha mpango wa kumsajili mshambuliaji wa Ureno Joao Felix ambae anakipiga kwa mkopo katika klabu hiyo akitokea Atletico Madris ya Hispania.


Felix alitua Chelsea kwa Mkataba wa mkopo wa miezi mitano ukiwa na kipengele cha kumnunua jumla na sasa Rais wa Atletico amesema Chelsea wamesitisha mpango huo na hasa baada ya ujio wa kocha mpya, Mauricio Pochettino.


Felix amefunga mabao manne katika michezo 20 akiwa na uzi wa Chelsea.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz