Aziz Ki mchezaji bora ligi kuu tz bara Mwezi April - EDUSPORTSTZ

Latest

Aziz Ki mchezaji bora ligi kuu tz bara Mwezi April

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Kiungo mshambuliaji wa Yanga Stephane Aziz amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya NBC kwa mwezi April 2023


Aziz Ki ameshinda tuzo hiyo baada ya kufunga mabao matatu katika mwezi huo akiwabwaga Jean Baleke wa Simba na Ayoub Lyanga wa Azam Fc


Tuzo ya kocha bora wa mwezi April imekwenda kwa Mohammed Abdallah wa Tanzania Prisons
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz