Aliye wahi kuwa kocha wa simba, Sven Vandenbroeck ateuliwa kuwa kocha mkuu Wydad Casablanca - EDUSPORTSTZ

Latest

Aliye wahi kuwa kocha wa simba, Sven Vandenbroeck ateuliwa kuwa kocha mkuu Wydad Casablanca

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco imemteua aliyekuwa kocha wa Simba SC, FAR Rabat na timu ya Taifa Zambia SVEN VANDENBROECK kuwa kocha mkuu klabuni hapo kuchukua mikoba ya Juan Carlos Garrido aliyebwaga manyanga.


Sven (43) amesaini mkataba wa kuitumikia klabu hiyo mpaka mwisho wa msimu.


Wydad itamsainisha mkataba wa miaka miwili ikiwa atashinda kombe la ligi sambamba na kuwavusha Mabingwa hao watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwenda fainali mbele ya Mamelodi Sundowns.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz