Alicho kiandika Fei toto baada ya Tff kutoa maamuzi ya kesi yake - EDUSPORTSTZ

Latest

Alicho kiandika Fei toto baada ya Tff kutoa maamuzi ya kesi yake

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Masaa machache tangu Kamti ya Sheria na hadhi za wachezaji kutupilia mbali maombi ya Kiungo wa Yanga Feisal Salum "Fei Toto" kuvunja Mkataba na Klabu ya Yanga na kusema kuwa mchezaji huyo ni mali halali ya Yanga.


Hatimaye mchezaji huyo kwa mara ya kwanza ameibuka na kuandika ujumbe katika ukurasa wake wa Instagram.


Feisal ameandika;


“You will face many defeats in life, but never let yourself be defeated” Maya Angelou


Utakumbana na kushindwa mara nyingi maishani, lakini kamwe USIJIRUHUSU kushindwa..."



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz