Al Ahly yatangulia fainali Ligi ya Mabingwa Afrika - EDUSPORTSTZ

Latest

Al Ahly yatangulia fainali Ligi ya Mabingwa Afrika

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Klabu ya Al Ahly ya Misri imetinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Esperance katika mchezo wa mkondo wa nusu fainali mkondo wa pili uliopigwa Misri


Al Ahly imetinga fainali kwa ushindi wa jumla wa mabao 4-0, wakishinda mabao 3-0 katika mchezo wa kwanza uliopigwa Tunisia


Mabingwa hao wa kihistoria michuano ya Ligi ya Mabingwa wanamsubiri mshindi wa mchezo kati ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco


Baada ya kulazimisha suluhu ya bila kufungana nchini Morocco Sundowns wanahitaji ushindi leo ili kutinga fainaliDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz