Yanga yamuahidi makubwa Rais Samia - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga yamuahidi makubwa Rais Samia

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Mashabiki wenye hasira wa Chelsea waliwazomea wachezaji baada ya kichapo cha 2-0 nyumbani Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London mbele ya Brentford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumatano.


Mabao ya Brentford yamefungwa na Cesar Azpilicueta dakika ya 37 na Bryan Mbeumo dakika ya 78 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi 47 katika mchezo wa 33 na kusogea nafasi ya tisa.


Kwa Kocha Frank Lampard huo ni mchezo wa tano mfululizo anafungwa tangu arejee kazini Chelsea na timu inabaki na pointi zake 39 za mechi 32 sasa ikihamia nafasi ya 11.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz