Yanga wawekewa milioni 300 mezani kufanya hili - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga wawekewa milioni 300 mezani kufanya hili

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Kwa mujibu wa habari kutoka ndani ya uongozi wa Yanga zinaeleza kuwa mabosi wa timu hiyo wameweka ahadi ya Sh 300 Mil kwa wachezaji na benchi la ufundi endapo watafanikiwa kuibuka na ushindi katika mchezo wa marudiano vs Rivers United kwa Mkapa.


Yanga katika mchezo huo kama watapata ushindi watajihakikishia nafasi ya kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho na kuweka rekodi jambo ambalo mabosi wa Yanga wanataka kuona hilo likitimia ndio maana wameweka ahadi hiyo.


Mchezo huo wa pili wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika unatarajiwa kuchezwa Jumapili hii, Aprili 30, 2023 kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz