Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Kwa sasa mabingwa wa nchi Yanga na Mabingwa wa Afrika Kusini PSL yaani Mamelod Sundowns hizi ndio timu ambazo zimekuwa na uhakika wa kushinda kwa asilimia 90 katika viwanja vya ugenini na nyumbani.
Yanga ambao wapo katika Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC hawakamatiki na Mamelod Sundowns ambao wapo ligi ya Mabingwa Afrika ni moto wa kuotea mbali.
Kwa aina ya matokeo ambayo wanayapata hadi sasa hizi ndio ambazo zinapewa nafasi kubwa ya kubeba haya makombe wanayoshiriki.
Endapo Yanga watabeba kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC na Mamelod Sundowns wakabeba Ligi ya Mabingwa Barani Afrika CAFCL basi miamba hii ya soka itakutana katika SUPER CUP.
Hakuna linalo shindikana
Post a Comment