Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amesema tayari mazungumzo yameanza wakilenga kumuongeza mkataba pamoja na kuboresha maslahi yake
"Tutafanya jambo kubwa kwa Bacca tushaanza mazungumzo nae, amefanya vizuri lazima tumuongezee, tumpe malipo mazuri zaidi, duniani kote ipo hivyo ukifanya vizuri unaongezewa na usipofanya vizuri mkataba wako ukiisha utapewa nafasi ya kuondoka," alisema Hersi
Bacca alikuwa sehemu ya kikosi kilichopata ushindi dhidi ya Rivers United nchini Nigeria katika mchezo wa mkondo wa kwanza robo fainali kombe la Shirikisho barani Afrika
Kiwango chake kimeimarika na sasa ameanza kujihakikishia nafasi kwenye kikosi cha kwanza
Post a Comment